New posts
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
- Question
Naombeni munisaidie mfumo wa pccb kwa ambaye kashajaza make mie ninajaza taarifa alafu wakati wa kusevu inagoma shida nn apo
- Question
Mimi ninashida kwenye ajira portal wakati najaza taarifa zangu kwenye academic qualifications imejirudia mara 8 kutokana na mtandao na hamna sehem ya kudelete ili ibaki moja nifanye nini maana...