Hili hapa Tangazo la Nafasi za kazi Kutoka TIE | Ajira Mpya za Mkataba Taasisi ya Elimu Tanzania zilizo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Utumishi leo tarehe 02 November 2024.
Fursa za Kazi za Kipekee kwa Walimu, Wataalamu wa Elimu na Watumishi Wenye Juhudi! Jiunge na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) na changia katika kujenga mfumo bora wa elimu kwa vizazi vijavyo.
Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), inayosimamiwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inakaribisha maombi ya kazi kwa...