Featured content

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Resource 'Nafasi za kazi Matongo Gold Mine Limited (MGM) Januari 2025'
Hili hapa Tangazo la Nafasi za kazi Matongo Gold Mine Limited (MGM) Januari 2025 lililo tangazwa siku ya leo mapema.
Resource 'Nafasi za kazi Nyantira Mennonite Pre and Primary Schools Januari 2025'
Hili hapa Nafasi za kazi Nyantira Mennonite Pre and Primary Schools Januari 2025
Resource 'SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL'
MLIOWAI KUFANYA SAILI KATIKA SHULE ZA PRIVATE AU SERIKALI WEKA HAPA SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL. Mimi nimepata hayo Pitia kwa makini slides za CT na EP hususani maeneo kama vile; 1. Bloom Taxonomy 2. Professionalism of Education (Class Management na Types of student, Teaching techniques) 3. Curriculum (Scheme of Work, Lesson plan) 4. Education Research 5. Teaching Methods (Pedadogy in Education)
Resource 'Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu Ajira Portal yapoje?'
Haya hapa Maswali ya interview ya ualimu (Usaili Wa Walimu) Ajira Portal katika nafasi za kazi mblimbali zilizo tangazwa na Utumishi Sekretarieti ya Ajira. Pitia haya maswali kwa umakini ujiweke katika njia sahihi. Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu 1. Eleza maana ya “ELIMU”. 2. Taja sifa za mtu aliyeelimika. 3. Taja na fafanua njia kuu tatu za kupata elimu. 4. Taja na fafanua madhumuni manne ya elimu ambayo yanakidhi nchi zote duniani. 5. Chagua madhumuni matano kati ya...
Resource 'MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (LITERATURE)'
HAYA HAPO JUU MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (LITERATURE) Ni kitabu lakini ukiyapitia kwa umakini kwa kuzingatia lazima utapata kitu, hivyo kama kuna mtu ana maswali Join kwenye discussion hapo chini kisha andika au upload tafadhali. Maswali ya usaili kada ya Ualimu (Walimu) - Sera ya Elimu Maswali ya Interview kada ya Ualimu (Walimu) - Sera ya Elimu in English Kuandaa darasa - CT 100 EA 300 notisi zote EF 303 - Ethics
Resource 'MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (JIOGRAFIA)'
HAYA HAPO JUU MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (JIOGRAFIA) Ni kitabu hivyo kama kuna mtu ana maswali Join kwenye discussion hapo chini kisha andika au upload tafadhali.
Resource 'RAMANI YA TANZANIA INAYOTUMIKA KUFUNDISHIA WANAFUNZI SHULENI 2025 IMETOKA'
HII HAPA RAMANI YA TANZANIA INAYOTUMIKA KUFUNDISHIA WANAFUNZI SHULENI 2025 IMETOKA Pakua hapo juu
Resource 'MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI VYA MAAFISA UGANI KILIMO 500 BODI YA KOROSHO TANZANIA'
BODI YA KOROSHO TANZANIA VITUO VYA KAZI VYA MAAFISA UGANI KILIMO VIJANA 500 KWA AJILI YA PROGRAMU MAALUM YA KUENDELEZA ZAO LA KOROSHO NCHINI KWA MWAKA 2024/2025 - TAREHE YA KURIPOTI KITUO CHA MAFUNZO: 13 JANUARI, 2025 SAA 2:00 ASUBUHI. Kuona Majina yote pakua Hapo Juu sehemu ya "Download"
Resource 'Nafasi za kazi Wag Hill Tanzania Januari 2025'
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Wag Hill Tanzania Januari 2025
Resource 'NAFASI ZA KAZI SENAPA SACCOS LTD JANUARI 2025'
SENAPA SACCOS LTD nichama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania kilichopo katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Chama hiki kilianzishwa kupitia sheria namba 06ya mwaka 2013. SENAPA SACCOS LTD kinatangaza nafasi ya kazi ya mhasibu wa chama kwa mwenye sifa zifuatazo,
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom