Featured content

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Resource 'TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025'
TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025 Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la terehe 15 Oktoba, 2024. Hivyo, kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao usaili wao...
Resource 'TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025'
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la terehe 15 Oktoba, 2024. Hivyo, kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usaili huo utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24...
Resource 'Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT'
Hii hapa Majina 418 ya Walioitwa Kuanza Uzalishaji Programu ya BBT Wizara ya Kilimo inawatangazia vijana 418 waliopangiwa shamba la Mlazo/Ndogowe kwamba wanapaswa kuwasili shambani kwa ajili ya kuanza uzalishaji katika msimu huu wa kilimo. Ratiba ya Kuwasili Utaratibu wa kuwasili umegawanywa katika makundi mawili: Kundi la Kwanza: Vijana 209 wataripoti tarehe 12 Januari 2025. Kundi la Pili: Vijana 209 wataripoti tarehe 13 Januari 2025. Soma zaidi: Matokeo ya Kidato cha Pili 2024 Form Two...
Resource 'Nafasi za Kazi Feza International School Desemba 2024'
Hili hapa Nafasi za Kazi Feza International School Desemba 2024 lililo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Resource 'Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024/2025 BMZ Yametangazwa Leo'
Leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki akitoa taarifa ya ufaulu wa kimasomo Katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba kwa Mwaka 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki leo tarehe 30/12/2024 ametangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba katika ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Aidha matokeo hayo yanaonesha kuongezeka kwa ufaulu kutoka 95.0 mwaka...
Resource 'Nafasi za Kazi 140 DSTV Wakala wa Mauzo - Desemba 2024'
WAKALA WA MAUZO (DIRECT SALES REPRESENTATIVE)- NAFASI 140 MBEYA, IRINGA, NJOMBE, SONGWE, KATAVI, RUKWA NA RUVUMA Je, unatafuta fursa ya kuonyesha kipaji chako cha mauzo? Tuna nafasi maalum kwa watu wenye bidii na shauku ya kufanya kazi kama Wakala wa Mauzo katika mikoa mbalimbali!
Resource 'Tangazo la Nafasi za Kazi MBIFACU - Desemba 2024'
Mbinga Farmers’ Cooperative Union (MBIFACU) LTD ilianzishwa chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 kama Muungano wa Ushirika unaowahudumia na kuwa wakala wa Vyama 114 vya Ushirika wa Masoko ya Kilimo (AMCOS) katika Kanda ya Kusini mwa Tanzania. Muungano huu unafanya kazi katika Wilaya mbili za Mbinga na Nyasa ndani ya Mkoa wa Ruvuma, ukijikita zaidi kwenye zao la kahawa kama zao lake kuu. Muungano unakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu wa kutosha...
Resource 'Tangazo la Nafasi za Kazi Msaidizi wa Hesabu kutoka TCJE - Desemba 2024'
Tobacco Cooperative Joint Enterprises Limited (TCJE) ilianzishwa chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 kama Muungano wa Ushirika kwa lengo la kuwezesha shughuli za sekta ya tumbaku na kukuza maslahi ya kiuchumi ya wanachama, ikiwa ni pamoja na masoko ya tumbaku, ugavi wa kilimo, na masuala yote yanayohusiana na maendeleo ya tumbaku kwa Vyama vya Sekondari vilivyo chini yake kwa mujibu wa Kanuni na Mazoea ya Ushirika. Kwa muktadha huu, shughuli za TCJE zimepanuka zaidi...
Resource 'Tangazo la Nafasi za Kazi Benki ya CRDB Tanzania - Desemba 2024'
Afisa Sheria (Masuala ya Madai) atakuwa na jukumu la kushughulikia na kusimamia kesi zote za madai zinazohusisha shirika. Hii inajumuisha kuandaa mikakati ya madai, kuhakikisha uzingatiaji wa sheria, kusimamia mawakili wa nje, na kuwakilisha shirika mahakamani, kwenye mabaraza, au katika mabaraza mengine ya utatuzi wa migogoro. Meneja Sheria - Usimamizi wa Mikataba atahusika na kusimamia mchakato mzima wa mikataba ya shirika, kuhakikisha mikataba yote inazingatia mahitaji ya kisheria, sera...
Resource 'Tangazo la Nafasi za Kazi Wilaya ya Mafia - Desemba 2024'
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia amepokea Kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kwa upande wa nafasi za Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/D/065 cha tarehe 09 Julai, 2024 kwa upande wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III. Hivyo Watanzania...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom