You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an alternative browser.
You should upgrade or use an alternative browser.
Featured content
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hizi hapa Nafasi za Kazi Tanroads Tanzania - Ajira Mpya Wakala wa Barabara zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
Je, unatafuta fursa ya kufanya kazi katika sekta ya uhandisi wa kiraia? Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inakualika ujiunge na timu yake katika miradi mikubwa inayolenga kuboresha miundombinu ya barabara nchini Tanzania. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuchangia katika maendeleo ya taifa letu kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Barabara ya...
Hizi hapa 144 Nafasi za Kazi Kutoka TEMESA - Ajira Mpya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania PDF leo tarehe 31 oktoba 2024 zilizo tangazwa kwa Watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ulianzishwa tarehe 26 Agosti, 2005 chini ya Sheria ya Wakala wa Utendaji Na. 30 ya mwaka 1997 kupitia Tangazo la Serikali Na. 254. Lengo kuu la Wakala huu ni kutoa huduma bora na za uhakika za umeme, mitambo, na vifaa vya kielektroniki, huduma salama za kivuko...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TCRA | Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kutoka PSRS yaliyotangazwa leo tarehe 30 Oktoba 2024 pakua katika PDF sehemu ya juu.
Je, umeomba kazi katika mashirika ya serikali na unasubiri majibu? Huu ni wakati wako! Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote kuwa usaili utaanza hivi karibuni.
Usaili utafanyika kuanzia tarehe 01 Novemba...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Arusha Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03 Agosti 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Pwani Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi na Ajira Portal | Taasisi Mbalimbali za Umma kutoka PSRS yaliyotangazwa leo tarehe 30 Oktoba 2024 pakua katika PDF sehemu ya juu.
Je, umeomba kazi katika mashirika ya serikali na unasubiri majibu? Huu ni wakati wako! Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya mashirika mbalimbali ikiwemo Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS), Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI), Tanzania Communications Regulatory Authority...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi | Chuo cha Elimu na Biashara CBE, angalia PDF sehemu ya juu kwenye makala haya au kupitia ajira portal.
Chuo cha Elimu na Biashara kinapenda kuwajulisha waombaji kazi waliofanikiwa kuingia kwenye mchakato wa nafasi za Ajira ya Afisa Hesabu Daraja la II, Afisa Tehama Daraja la II, na Afisa Sheria Daraja la II kwamba wamechaguliwa kuhudhuria usaili maalum. Hii ni nafasi muhimu, na usaili huu unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 5...
Hii hapa orodha ya majina ya Waliopata Mkopo awamu ya Nne HESLB 2024/2025 | Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu. Fursa Mpya za Rufaa kwa Mikopo ya Elimu ya Juu Kufunguliwa Novemba 4 - 11, 2024
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumanne, Oktoba 29, 2024, imetangaza kuwa Awamu ya Nne (Batch Four) ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imeshatolewa kwa wanafunzi 9,068 wanaoanza masomo ya shahada ya awali na stashahada katika vyuo mbalimbali nchini. Jumla ya TZS...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya, Halmashauri za Mkoa wa Tanga Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24 Februari 2024 na 26 Februari 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa...