Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Sekretarieti ya Ajira Utumishi | Taasisi Mbalimbali PDF Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 12 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada...