Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi 5 za Madereva Abacus Pharma (A) Ltd Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za madereva Abacus Pharma (A) Ltd Wanahitajika madereva watano (5) wa kufanya kazi ndani ya mkoa wa Dar es Salaam pakua PDF Hapo chini.
Nafasi za Intenship Harvest Point Ajira Mpya 2025
Hili Hapa Tangazo la nafasi za insternship, linalowaalika watanzania wenye sifa na ari yakuchap kazi , Tuma maombi mapema
Nafasi za Kazi Kafika House Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Kafika House 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo. Pakua PDF hapo chini.
Nafasi za Kazi KVTC Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi KVTC 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Hili hapa tangazo la Nafasi 18 za Ajira Mpya NMB Bank 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza hapa...
Kuitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs 17-03-2025 Ajira Portal
Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-05-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya...
MAJINA YA WALIMU WALIOITWA KAZINI Ajira za Walimu
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-05-2024 na tarehe 24-02-2025kuwa matokeo ya...
Hili Hapa Tangazo la nafasi za kazi Exim Bank, kwa wa tanzania wenye sifa na ari tuma maombi mapema:
Nafasi za kazi wananchi Group Ajira Mpya 2025
Hili Hapa Tangazo la Kazi kwa watanzania wote wenye sifa na ari yakufanya kazi kwa bidii na weledi, tyma maombi mapema kabla ya Deadline,