Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za kazi SAMEKAYA SACCOS LTD Ajira Mpya 2025
Hili Hapa Tangazo la Nafasi za kazi SAMEKAYA SACCOS LTD, SAMEKAYA SACCOS LTD inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na ujuzi unaostahili ili kujaza nafasi tatu (3) zifuatazo: Nafasi...
Nafasi za Graduate Trainee Foundation for Civil Society (FCS) Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Graduate Trainee Foundation for Civil Society (FCS), FCS Inawalika watanzania wote wenye sifa na ari kutuma maombi kuwania Nafasi za Graduate trainee Zilizotangazwa...
Nafasi za kazi Derm Group Ajira Mpya 2025
Hizi hapa Nafasi za kazi Derm Group, Zilizotangazwa hivi karibuni kwa watanzania wote wenye sifa na ari, tuma maombi mapema, Derm Group (T) LTD ni kampuni ya Kitanzania inayojulikana kwa utaalamu...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi 17 OSHA March 2025, Kwa niaba ya Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye...
Angela Peace and Love Company Limited (Beauty Group Tanzania) ni kampuni iliyosajiliwa chini ya sheria za Tanzania, inayojihusisha na uuzaji wa nguo zilizotumika, viatu, mabegi, viatu vipya, na...
Nafasi kwa Walimu wa Kujitolea kufundisha Masomo ya Fizikia na Hesabu Mkoa wa Kagera ERB Bodi ya Usajili
Tangazo la Nafasi kwa Walimu wa Kujitolea kufundisha Masomo ya Fizikia na Hesabu katika shule sa sekondari Mkoa wa Kagera
Walioitwa Kazini TAMISEMI Ajira za TMCHIP Kada za Afya
Orodha ya majina ya walioitwa kazini Tamisemi leo, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika programu ya...
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU 15-03-2025 PSRS Ajira Portal
Orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe...
Orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, afya na kada mbalimbali leo. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya...
Hili hapa tangazo la Nafasi 3 za Ajira Mpya Sotta Mining Corporation 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.