Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC (ELIMU MAALUM) ULIOFANYIKA TAREHE 05/02/2025 Ajira Portal
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC (ELIMU MAALUM) ULIOFANYIKA TAREHE 05/02/2025 KUTOKA AJIRA PORTAL Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC (UCHUMI, KILIMO, SHULE YA MSINGI ,TEHAMA NA URAIA) ULIOFANYIKA TAREHE 05/02/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa...
Muktasari: Majina ya Vijana 1106 wamechaguliwa au wameitwa kufanya usaili kama Aptitude Test Interview katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania imetangaza majina ya...
Nafasi za Kazi 1592 TRA Februari 2025 Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi 1592 TRA Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo. Bonyeza hapa...
Ajira >> Nafasi za Kazi TRA - Mamlaka ya Mapato Tanzania 2025/2026 TRA Recruitment Port
Tangazo: Nafasi za kazi 1592 zilizo tangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa nchi nzima kwa vijana. Hili hapa tangazo la Ajira >> Nafasi za Kazi TRA - Mamlaka ya Mapato Tanzania 2025/2026...
Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025/2026 Chuo cha Uhamiaji Idara ya Immigration
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia Vijana waliochaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kuripoti Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga, kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa...
Nafasi za Kazi NIMR Mbeya Saccos Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi NIMR Mbeya Saccos Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
- Featured
Nafasi za Kazi za Direct Sales Agents, Kutoka Benk ya NBC Ajira mpya 3660
Hizi hapa Nafasi za Kazi za Direct Sales Officer 60 kwa kila tawi kutoka NBC ni benki kongwe zaidi nchini Tanzania yenye uzoefu wa zaidi ya miongo mitano. Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo za...
Leo, Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal 2025 Kutoka Utumishi Leo 4/2/2025. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali...
Orodha ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Leo 04-02-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya...