Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za Kazi Kukua Pamoja Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Kukua Pamoja Tanzania kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa na vigezo kulingana na chapisho hili waweze kuanza kutuma maombi kuanzia leo.
Nafasi za Kazi meal THRDC Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka THRDC Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Nafasi za Kazi BDO Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Nafasi za Kazi BDO Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Nafasi za Kazi Godmwanga Gems Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Godmwanga Gems Tanzania kwa watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo vyote vilivyowekwa hapo chini waweze kutuma maombi kujaza ajira hizi.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Madereva wa Magari ya Mizigo Itracom Fertilizers kwa watanzania wote kujaza ajira mpya 110 kwa malori na utingo nafasi 110. Download PDF hapa chini
USAILI WA WALIMU DARAJA LA IIIC - KISWAHILI KUFANYIKA TAREHE 30 JANUARI, 2025 BADALA YA 28 JANUARI, 2025 Ajira Portal
Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuujulisha umma kuwa usaili wa Walimu Daraja la IIIC – Kiswahili uliopangwa kufanyika tarehe 28 Januari, 2025 katika...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Ubalozi wa Korea Dar es Salaam kwa watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo.
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Leo Tarehe 25/01/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali...
Leo, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwajulisha waombaji kazi wa kada za Ualimu wanaofanyia saili zao Mkoa wa Dar es Salaam kuwa, Usaili wa...
Nafasi za Kazi Msimamizi wa Mauzo wa Kanda AzamPesa Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Msimamizi wa Mauzo wa Kanda AzamPesa Je, wewe ni mtaalamu mwenye uzoefu wa mauzo? Unaweza kutekeleza mikakati ya kikanda na kushirikiana vizuri na timu ya...