Tunayo furaha kushiriki nawe maarifa ya maswali yanayoulizwa mara nyingi kwenye usaili na jinsi ya kuyajibu kama mtaalamu. Kuanzia, "Niambie kuhusu wewe mwenyewe" hadi "Una maswali yoyote kwangu?"...
Nafasi za kazi Aga Khan Foundation Mratibu wa Jinsia atakuwa na jukumu la kutekeleza mipango ya kuendeleza usawa wa kijinsia kupitia utekelezaji wa Mkakati wa Usawa wa Kijinsia (GES) wa AKF katika...
Shirika la Save the Children ni shirika huru linaloongoza duniani kwa ajili ya watoto. Tunafanya kazi katika nchi 120. Tunawaokoa watoto, tunapigania haki zao, na tunawasaidia kufikia uwezo wao...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Watu Credit kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia leo. Soma maelezo yote kwenye PDF hapo chini au Tuma maombi hapa
Hili hapa Nafasi za Kazi Wilaya ya Mbeya kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. 1. Afisa Hesabu - Nafasi 3 2. Msaidizi wa Hesabu - Nafasi 4
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Human Resources Staff Esther Luxury Coach Bus kwa watanzania wote wenye sifa. Unaweza kupeleka maombi moja kwa moja ofisini.