Ajira na Nafasi za kazi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Paveway Africa kwa watanzania wote wenye sifa.
Replies
0
Views
668
Hili hapa Nafasi za Kazi Wilaya ya Mbeya kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. 1. Afisa Hesabu - Nafasi 3 2. Msaidizi wa Hesabu - Nafasi 4
Replies
0
Views
7K
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Human Resources Staff Esther Luxury Coach Bus kwa watanzania wote wenye sifa. Unaweza kupeleka maombi moja kwa moja ofisini.
Replies
0
Views
905
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Marketing Manager Esther Luxury Coach Bus kwa watanzania wote. Maombi unaweza peleka moja kwa moja ofisini.
Replies
0
Views
974
Nafasi za Ukonda (Conductor) wa Bus Esther Luxury Coach Temeke
Replies
0
Views
5K
Nafasi za kazi za Hotelini (jikoni) Wanatafutwa wafuatao 1. Bakery(2) 2. ⁠Hot section (2) 3. ⁠pastry( 1) jinsia: wakiume Awe na uzowefu wa izo taaluma wa miaka angalau miwili) Location, Dar Tuma...
Replies
0
Views
980
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi RNR Business Solution lililo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
Replies
0
Views
1K
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi YAS (tigo) Tanzania Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Replies
0
Views
2K
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025...
Replies
0
Views
3K
Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Tabora mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa...
Replies
0
Views
2K
Back
Top Bottom