Ajira na Nafasi za kazi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za Kazi CBE Januari 2025
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu wa kutosha kujaza nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1 (unaoweza kuongezwa mara moja) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)...
Replies
0
Views
134
Nafasi za kazi Actionaid Volunteer 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Actionaid kwa watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Replies
0
Views
1K
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka TADB Legal Officer Intern.
Replies
0
Views
811
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi EVK Tanzania.
Replies
0
Views
606
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025 kutoka ajira portal katika ajira za walimu na vituo vya interview WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI...
Replies
6
Views
27K
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi ya Kukusanya Ushuru (Makarani) Tunduma ajira za muda za mkataba wa miezi mitatu ndani ya Halmashauri ya Mji.
Replies
0
Views
3K
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 26 za ajira ya Mkataba kwa wananchi wa Kakonko wenye sifa stahiki nafasi ya Wakusanya Mapato. Sifa za...
Replies
0
Views
3K
Hili hapa tangazo la NAFASI ZA Nafasi za kazi za Mhasibu CCT kwa watanzania wote wenye sifa, waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Replies
0
Views
1K
HAYA HAPA ORODHA YA MAJINA NA MIKOA YA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LABORATORY TECHNICIAN II) FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II
Replies
0
Views
890
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi PEPSI Tanzania leo kwa watanzania wote wenye sifa.
Replies
1
Views
10K
mukhtar
Back
Top Bottom