Ajira na Nafasi za kazi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la NAFASI ZA Nafasi za kazi za Mhasibu CCT kwa watanzania wote wenye sifa, waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Replies
0
Views
1K
HAYA HAPA ORODHA YA MAJINA NA MIKOA YA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LABORATORY TECHNICIAN II) FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II
Replies
0
Views
1K
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi PEPSI Tanzania leo kwa watanzania wote wenye sifa.
Replies
1
Views
10K
mukhtar
Hii hapa otodha ya majina ya Walioitwa kazini Namtumbo, TATC, Muheza, Nzega, Chemba, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mzumbe, Mzumbe, MOI, NIDA, CFR, DART, ARU, TAEC. Leo, Katibu wa...
Replies
0
Views
1K
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala za Serikali Na. 245 ya mwaka 1999 na kuanza kutekeleza majukumu kufuatia Tangazo la Serikali...
Replies
0
Views
2K
Hizi hapa nafasi za kazi za Afisa Ustawi wa Jamii daraja la II - Radiolojia (Radiograogy Technologist II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Utumishi Ajira portal. Kuajiriwa wenye Shahada...
Replies
0
Views
4K
Yovina daniel
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti...
Replies
2
Views
5K
HENRY HAMIDU HAMISI
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Dar es salaam na Dodoma 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti ya...
Replies
1
Views
8K
MWITA
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Kilimanjaro, Morogoro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal...
Replies
0
Views
8K
Tangazo kutoka kwa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma linalohusu vitu muhimu ambavyo msailiwa anapaswa kubeba wakati wa usaili wa kada za Ualimu. Yafuatayo ni maelezo...
Replies
0
Views
4K
Back
Top Bottom