Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Majina ya walioitwa kazini Afya, TIE, ATC, JKCI, Pwani, Geita, PSC, Mbarali, TALIRI, Dodoma, TVLA, MoCU, DIT, TAFORI, MNH, IRDP, MNMA, GCLA. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya...
Nafasi za kazi Benki ya Exim Tanzania Januari 2025
Exim Bank, benki ya Kitanzania iliyoanzishwa mwezi Agosti 1997, imeendelea kuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma bora za kibenki katika nchi nne tofauti. Kwa kipindi cha miaka 26, benki hii...
Nafasi za kazi Benki ya Maendeleo PLC Januari 2025
Benki ya Maendeleo PLC ilianzishwa kutokana na uamuzi wa kimkakati uliofanywa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani mnamo mwaka 2008. Benki hii...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Regional Business Manager kutoka Movit Products Tanzania leo kwa watanzania wote wenye sifa, nia kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Territory Executive Manager kutoka Movit Products Tanzania leo hii kwa watanzania wote wenye sifa, nia kuweza kutuma maombi.
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025/2026, Interview ni kwa walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji na waliopokea barua pepe na ujumbe wa simu...
Nafasi za kazi Movit Products Tanzania Januari 2025
Hili hapa tangazo la ajira mpya kutoka kampuni ya Movit Products Tanzania lililo tangazwa siku ya leo mapema. Soma maelezo hapo chini.
Kuitwa kwenye usaili Masomo ya Biashara na Amali Ajira Portal Ajira za Walimu 2025
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa au kuitwa kwenye Interview (Usaili katika masomo ya amali na Biashara kutoka Ajira portal. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa...
Nafasi za kazi Tiffany Diamond Hotel Januari 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Tiffany Diamond Hotel
Kuitwa kwenye interview Uhamiaji Tarehe 09 Januari 2025 Immigration PDF
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa au Kuitwa kwenye interview Uhamiaji Tarehe 09 Januari 2025. Zingatia haya maelezo yaliyowekwa hapa chini ya usaili. Bonyeza hapa kuona majina yote ya interview