Hili hapa tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza kada ya ualimu leo tarehe 08 januari 2025. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs...
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi za Afisa Maendeleo ya Jamii daraja la Pili (Community Development Officer II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Sekretarieti ya ajira katika Utumishi...
Hizi hapa nafasi za kazi za Afisa Tehama daraja la pili (Programmer) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kwa watanzania wote kupitia Ajira Portal. Mwombaji awe na Stashahada ya juu au Shahada ya...
Hizi hapa nafasi za kazi za Daktari wa upasuaji wa kinywa na meno daraja la pili (Dental Surgeon II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Ajira Portal leo. Kuajiriwa wenye shahada ya...
Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU), kilichokuwa kikijulikana kama TUDARCo, kipo kwenye mchakato wa mabadiliko makubwa ya kimkakati na kubadilisha chapa yake ili kuendana na maendeleo ya...
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliomba kazi za muda mfupi zilizotangazwa tarehe 04 Decemba, 2024 kuwa, usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe...
Hizi hapa nafasi za kazi Afisa Afya Mazingira Msaidizi daraja la pili (Assistant Environmental Health Officer) kutoka MDAs & LGAs Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka...
Uongozi wa Shule ya Sekondari St. Peter’s unapenda kuwatangazia wananchi wote nafasi ya kazi ya ualimu katika masomo yafuatayo; 1. Mwalimu masomo ya Basic Mathematics na Physics – Nafasi 1 2...