Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Uhamiaji Ajira za Immigration Tarehe 09 Januari 2025 Immigration call for interview Download hapa PDF
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2025/2026 Majina 2115. Kuitwa kwenye usaili Immigration Leo, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira...
- Featured
Nafasi za kujitolea Tanzania Impact for Health Ajira Januari 2025
Hizi hapa Nafasi za kujitolea (Volunteers) Tanzania Impact for Health kwa watanzania wote eneo la kazi Dar es Salaam.
- Featured
Nafasi za kazi TGFA Ajira mpya 2
Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) ulianzishwa chini ya Sheria ya Wakala za Serikali Na. 30 ya mwaka 1997 (iliyorekebishwa) na kuanza rasmi tarehe 17 Mei, 2002 kupitia Tangazo la Serikali...
- Featured
Nafasi za kazi TAA Ajira mpya 12
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa ajili ya kuendesha, kusimamia, kuhudumia na kuendeleza viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na serikali kwa mtindo wa...
- Featured
Mashindano ya CHAN 2025 yanatarajiwa kufanyika hapa Tanzania kuanzia tarehe 1– 28 Februari 2025. Wanahitajika watu wenye ari na uzalendo wa kujitolea ili kufanikisha tukio hili kubwa na la...
- Featured
Nafasi za kazi DHL Tanzania Januari 2025
Hizi hapa ajira mpya kutoka DHL Tanzania SVC Operations, Assistant Supervisor Tuma maombi hapa sasa
- Featured
Nafasi za kazi 465 MDAs & LGAs Ajira portal Januari
Leo kutoka Ajira Portal, Katibu wa Sekretarieti yaAjira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa...
- Featured
Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia Ajira portal Januari
Tangazo la Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati...
- Featured
NAFASI ZA MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II - RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY) MDAs & LGAs Ajira mpya 35
Hizi hapa nafasi za kazi za Mteknolojia wa radiografia daraja la II - Radiolojia (Radiograogy Technologist II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Utumishi Ajira portal. Kuajiriwa wenye...