Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
- Featured
Hili hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi mbalimbali Utumishi lililo toka siku ya leo tarehe 08 januari 2025. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
- Featured
Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza Kada ya Ualimu
Hili hapa tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza kada ya ualimu leo tarehe 08 januari 2025. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs...
- Featured
NAFASI ZA AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II) MDAs & LGAs Ajira mpya 5
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi za Afisa Maendeleo ya Jamii daraja la Pili (Community Development Officer II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Sekretarieti ya ajira katika Utumishi...
- Featured
NAFASI ZA AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) MDAs & LGAs Ajira mpya 15
Hizi hapa nafasi za kazi za Afisa Tehama daraja la pili (Programmer) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kwa watanzania wote kupitia Ajira Portal. Mwombaji awe na Stashahada ya juu au Shahada ya...
- Featured
Hizi hapa nafasi za kazi za Daktari wa upasuaji wa kinywa na meno daraja la pili (Dental Surgeon II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Ajira Portal leo. Kuajiriwa wenye shahada ya...
- Featured
Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU), kilichokuwa kikijulikana kama TUDARCo, kipo kwenye mchakato wa mabadiliko makubwa ya kimkakati na kubadilisha chapa yake ili kuendana na maendeleo ya...
- Featured
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe Januari 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliomba kazi za muda mfupi zilizotangazwa tarehe 04 Decemba, 2024 kuwa, usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe...
- Featured
NAFASI ZA DOBI – (LAUNDERER) MDAs & LGAs Ajira Mpya 3
Hizi hapa ni Nafasi za kazi za Dobi (Lauderer) kutoka MDAs & LGAs kupitia Ajira Portal. Tuma maombi hapa
- Featured
NAFASI AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER II) MDAs & LGAs Ajira mpya 50
Hizi hapa nafasi za kazi Afisa Afya Mazingira Msaidizi daraja la pili (Assistant Environmental Health Officer) kutoka MDAs & LGAs Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka...