Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za Kazi Paveway Africa LTD Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Paveway Africa kwa watanzania wote wenye sifa.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mbeya Ajira mpya 7
Hili hapa Nafasi za Kazi Wilaya ya Mbeya kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. 1. Afisa Hesabu - Nafasi 3 2. Msaidizi wa Hesabu - Nafasi 4
Nafasi za kazi Human Resources Staff Esther Luxury Coach Bus Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Human Resources Staff Esther Luxury Coach Bus kwa watanzania wote wenye sifa. Unaweza kupeleka maombi moja kwa moja ofisini.
Nafasi za kazi Marketing Manager Esther Luxury Coach Bus Ajira za mabasi
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Marketing Manager Esther Luxury Coach Bus kwa watanzania wote. Maombi unaweza peleka moja kwa moja ofisini.
Nafasi za kazi za Hotelini (jikoni) Ajira Mpya 2025
Nafasi za kazi za Hotelini (jikoni) Wanatafutwa wafuatao 1. Bakery(2) 2. Hot section (2) 3. pastry( 1) jinsia: wakiume Awe na uzowefu wa izo taaluma wa miaka angalau miwili) Location, Dar Tuma...
Nafasi za Kazi RNR Business Solution Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi RNR Business Solution lililo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
Nafasi za Kazi YAS (tigo) Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi YAS (tigo) Tanzania Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA Ajira Portal
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025...
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA TABORA Ajira Portal
Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Tabora mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa...
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI MKOA WA SHINYANGA Interview ya Walimu
Waombaji kazi wote wa Kada za ualimu walioitwa kwenye usailii Mkoa wa Shinyanga mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili. Usaili wa kuandika pamoja na usaili wa mahojiano...