Ajira na Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC KISWAHILI ULIOFANYIKA TAREHE 25/01/2025 Ajira Portal
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC KISWAHILI ULIOFANYIKA TAREHE 25/01/2025 Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 30/01/2025. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED)...
Nafasi za Kazi Des Grand Hotel Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Des Grand Hotel Tanzania kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Nafasi za Kazi Kukua Pamoja Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Kukua Pamoja Tanzania kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa na vigezo kulingana na chapisho hili waweze kuanza kutuma maombi kuanzia leo.
Nafasi za Kazi meal THRDC Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka THRDC Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Nafasi za Kazi BDO Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka Nafasi za Kazi BDO Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Nafasi za Kazi Godmwanga Gems Tanzania Ajira Mpya 2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Godmwanga Gems Tanzania kwa watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo vyote vilivyowekwa hapo chini waweze kutuma maombi kujaza ajira hizi.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Madereva wa Magari ya Mizigo Itracom Fertilizers kwa watanzania wote kujaza ajira mpya 110 kwa malori na utingo nafasi 110. Download PDF hapa chini
USAILI WA WALIMU DARAJA LA IIIC - KISWAHILI KUFANYIKA TAREHE 30 JANUARI, 2025 BADALA YA 28 JANUARI, 2025 Ajira Portal
Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuujulisha umma kuwa usaili wa Walimu Daraja la IIIC – Kiswahili uliopangwa kufanyika tarehe 28 Januari, 2025 katika...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Ubalozi wa Korea Dar es Salaam kwa watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo.
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Leo Tarehe 25/01/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali...