Ajira

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
NBC ni benki kongwe zaidi hapa Tanzania, ikiwa na zaidi ya miaka 50 ya uzoefu. Tunatoa huduma mbalimbali za kibenki kwa wateja binafsi, biashara, kampuni kubwa, na uwekezaji, pamoja na huduma za...
Replies
0
Views
2K
  • Question Question
Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo Nyumba Gari Ndoa Ajira Kujiajiri Chagua namba na sema kwa nini.
Replies
3
Views
266
amour
Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) kinakaribisha maombi ya nafasi ya Mhasibu anayehitajika kufanya kazi Dar es Salaam, Tanzania. Mtu atakayechaguliwa atahusika na usimamizi wa fedha, ikiwa ni pamoja na...
Replies
0
Views
501
Nafasi za kazi 36 Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali na lisilo la kifaida, linalolenga kusaidia kukabiliana na changamoto za afya ya umma kwa Watanzania na...
Replies
1
Views
5K
Dionis
  • Question Question
Twambie, Je ni sahihi Ajira za Walimu kuwekwa kando mpaka January 2025?
Replies
4
Views
483
Mwl. Daniel
Gharama, Ada na Vifurushi vya Bima ya Afya vya NHIF ambavyo ni NAJALI AFYA, WEKEZA AFYA, na TIMIZA AFYA ni mpango unaowezesha mwanachama kupata huduma za matibabu kupitia Kichangia Bima na mfuko...
Replies
0
Views
2K
Tanzania Investment and Consultant Group Limited (TICGL) ni kampuni inayotoa huduma za ushauri na kusaidia uwekezaji kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo endelevu hapa Tanzania. Tunashughulika...
Replies
0
Views
959
Hizi hapa nafasi za kazi zilizo tangazwa na Taasis ya Bima ya Tanzania ilisajiliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani mwaka 1996 kama tawi la ndani la Taasisi ya Bima ya Chartered (CII) ya London. Hadi...
Replies
2
Views
4K
ZanAjira; Nafasi za kazi 461 Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali December 2024 kama ifuatavyo: Ajira zilizo tangazwa 1. Mwalimu...
Replies
1
Views
4K
A.ALLY
AKO GROUP LIMITED ilianzishwa jijini Dar es Salaam mwaka 1991 na ni kampuni tanzu ya SF Group of Companies Limited. Kampuni hii ilianzishwa kwa lengo la kuleta ubunifu katika sekta ya huduma za...
Replies
0
Views
2K
Back
Top Bottom