Ajira

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia Wananchi wote Raia wa Tanzania wenye sifa...
Replies
0
Views
4K
Hizi hapa Nafasi za kazi Nesch Mintech Desemba 2024. Mkurugenzi wa Shughuli za Maabara atahusika na kusimamia shughuli zote za maabara, kuhakikisha kazi zinafanyika kwa ufanisi na kutekeleza...
Replies
0
Views
841
Tazama Pipelines Limited ni kampuni muhimu ya miundombinu ya nishati, inayosafirisha bidhaa za mafuta yaliyosafishwa kutoka Dar es Salaam hadi Zambia na Malawi. Kama mradi mkubwa wa miundombinu...
Replies
3
Views
2K
bagambi
Amref Health Africa ilianzishwa mwaka 1957 na tangu wakati huo imekua hadi kuwa shirika kubwa zaidi la kimataifa lenye mizizi barani Afrika linalojikita kwenye maendeleo ya afya. Kwa sasa, Amref...
Replies
0
Views
1K
Kuunda ni kampuni ya kifedha inayojikita katika teknolojia ya kidijitali kwa biashara (B2B), inayosaidia sekta isiyo rasmi kupata mtaji kupitia APIs za kifedha na mifumo ya kipekee ya upimaji wa...
Replies
0
Views
1K
Nafasi za kazi Kampuni ya Kilombero Rice Farmers December 2024 KTC ni kampuni iliyopo Mlimba, Morogoro, Tanzania, inayojihusisha na kilimo na biashara ya mpunga. Tunauza mpunga ndani ya Tanzania...
Replies
1
Views
2K
WYCLIFEE MUGOLOZI JEREMIA
Hizi hapa Nafasi za kazi Chama cha ushirika wa Akiba na Mikopo cha JAM MAONO LIMITED, Arusha katika mpango mkakati wake wa kupanua wigo wa kutoa huduma imeanzisha huduma za uwakala wa fedha kwa...
Replies
0
Views
2K
Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya linamiliki na kuendesha taasisi za Afya katika Mikoa ya Mbeya na Songwe. Jimbo linayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye sifa...
Replies
0
Views
3K
Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda...
Replies
0
Views
10K
Hizi hapa Nafasi za kazi Shirika la Health and Insurance Management Services Organization (HIMSO) ni shirika la Kitanzania lisilo la kiserikali (NGO) lililoanzishwa mwaka 2012 kwa ajili ya...
Replies
0
Views
829
Back
Top Bottom