Ajira
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Wananchi, Hizi hapa Ajira Mpya Shule ya Al Muntazir Nafasi za kazi za Walimu wa Sekondari December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Mahawa Independent Schools 08-12-2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. Nafasi...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 4 PIVOTECH Ajira Mpya Kampuni ya PIVOTECH December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia...
Afisa Mwandikishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo wametangaza Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024 waombaji wa kazi za muda za Mwandikishaji Msaidizi na Mwendesha...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iringa Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya muda ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye...
Hizi hapa Nafasi za Tabibu Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya...
Naomba msaada mm niki login inaandika successful. Ila profile picture haionekani kwajili ya ku-upload vyeti.
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia...