Hii hapa orodha ya vyuo vya VETA vinavyotoa mafunzo ngazi ya tatu ufundi stadi ni kama Arusha VTC, Busokelo DVTC, Dakawa VTC, Dar es Salaam RVTSC, Dodoma RVTSC, Gorowa DVTC, Ileje DVTC, Iringa...
Hii hapa Fomu ya Maombi ya Kujiunga na VETA Ngazi ya Tatu andika majina ya vyuo vitatu(3) unavyopenda kwenda kusoma kuendana na fani uliyochagua. Maelezo kuhusu fomu: 1. Fomu zitaanza kutolewa...
Jinsi ya kupata mkopo wa elimu ya juu HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania kwa wanachuo au wanafunzi ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaotaka kuendelea na masomo ya elimu ya juu lakini wanakumbwa na...
Baraza la Mitihani la Tanzania, linalojulikana kwa kifupi kama NECTA (National Examinations Council of Tanzania), ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 21 ya mwaka...
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ni taasisi ya serikali ya Tanzania iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 21 ya mwaka 1973. Lengo kuu la kuanzishwa kwa NECTA lilikuwa ni kusimamia na...
Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 TAMISEMI itatangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2025-26 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ifikapo tarehe 30 Mei,2025...
Hii ni taarifa ya Wanafunzi wote wa kidato cha Tano 2024 sasa unaweza kubadili Tahasusi(Combination) uliyochaguliwa iwapo utakuwa unataka kusoma kitu kingine tofauti na chaguo la awali. Bofya...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linawataarifu umma kuwa matokeo ya uhakiki wa waombaji waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mkupuo wa Machi, 2025 katika...
Kabla ya kwenda kwenye usaili wa Procurement, unapaswa kujiandaa kwa kujua mambo yafuatayo: 1. Uelewa wa Misingi ya Procurement Taratibu za manunuzi (Procurement Processes) kama Open Tendering...
Hii Hapa mitihani ya PRE NECTA TABORA HIGH SCHOOL Fanya Mazoezi mara Kwa mara Utifue Vumbi kwenye mtihani wa Final Kidato cha sita Pakua PDF kutokana na Masomo tuliyofanikiwa Kupata:- SOMO PDF...