Hello, wanainchi. Nipo hapa kuomba msaada wa mtu mwenye sample, past questions za public relation officer (TRA) na Trade officer ii. Ahsanten sana ndugu zangu
Ufadhili wa Masomo Romania 2025 Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Maafisa wenye sifa kutoka Utumishi wa Umma kuomba kozi za muda mrefu zinazodhaminiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania kwa mwaka...
Ufadhili wa Masomo Indonesia 2025 Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watumishi wa Serikali ya Tanzania wenye sifa za kutosha kuomba nafasi za masomo kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya...
Teknolojia inazidi kuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku, na ujuzi katika sekta hii unazidi kuwa na thamani kubwa kwenye soko la ajira. Kupitia elimu ya teknolojia, vijana na wataalamu...
Hili hapa Tangazo kuitwa kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi. Itakumbukwa kuwa tarehe 31 Januari, 2025 Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira...
Haya hapa Matokeo ya mitihani ya CBA, UANAGENZI NA NABE VETA & NACTVET 2024 Taarifa ya matokeo ya mitihano ya ufundi stadi msimu wa desemba 2024. Bonyeza hapa kuangalia matokeo CBA, UANAGENZI NA...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa limeidhinisha matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Ufundi Stadi katika ngazi ya I, II na III...
Boresha ujuzi wako na upate maarifa ya kiwango cha juu kupitia kozi fupi ya Misingi ya Masoko ya Kidijitali. Kozi hii imebuniwa kwa ajili ya wataalamu wanaotaka kujiendeleza, ikikupa zana za...
Tanzania, Wananchi wote wanajulishwa kuwa programu ya ufadhili wa masomo nchini Uturuki kwa mwaka wa masomo 2025/2026 imefunguliwa kwa Watanzania wenye sifa. Ufadhili huu unajumuisha masomo ya...