Elimu
Ikiwa una baadhi ya masuala ya Chuo/Shule na ungependa kushiriki nasi, yachapishe hapa!
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Shule ya msingi
Makala mbalimbali kuhusu elimu ya darasa la saba pia darasa la nne
- Threads
- 89
- Messages
- 89
- Article
Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2025 Selform Tamisemi
Hii ni taarifa ya Wanafunzi wote wa kidato cha Tano 2024 sasa unaweza kubadili Tahasusi(Combination) uliyochaguliwa iwapo utakuwa unataka kusoma kitu kingine tofauti na chaguo la awali. Bofya...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linawataarifu umma kuwa matokeo ya uhakiki wa waombaji waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mkupuo wa Machi, 2025 katika...
Hii Hapa mitihani ya PRE NECTA TABORA HIGH SCHOOL Fanya Mazoezi mara Kwa mara Utifue Vumbi kwenye mtihani wa Final Kidato cha sita Pakua PDF kutokana na Masomo tuliyofanikiwa Kupata:- SOMO PDF...
Hili hapa tangazo la nafasi za Ufadhili wa Masomo MOFCO China Kwa Watanzania.
Hello, wanainchi. Nipo hapa kuomba msaada wa mtu mwenye sample, past questions za public relation officer (TRA) na Trade officer ii. Ahsanten sana ndugu zangu
Ufadhili wa Masomo Romania 2025 Utumishi
Ufadhili wa Masomo Romania 2025 Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Maafisa wenye sifa kutoka Utumishi wa Umma kuomba kozi za muda mrefu zinazodhaminiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania kwa mwaka...
- Article
Ufadhili wa Masomo Indonesia 2025 Utumishi
Ufadhili wa Masomo Indonesia 2025 Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watumishi wa Serikali ya Tanzania wenye sifa za kutosha kuomba nafasi za masomo kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya...
- Article
Elimu ya Teknolojia na Fursa za Ajira katika Sekta ya IT #ElimuYaTeknolojia #
Teknolojia inazidi kuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku, na ujuzi katika sekta hii unazidi kuwa na thamani kubwa kwenye soko la ajira. Kupitia elimu ya teknolojia, vijana na wataalamu...
- Article
Majina ya Walioitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi VETA KAZI PMO-LYED
Hili hapa Tangazo kuitwa kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi. Itakumbukwa kuwa tarehe 31 Januari, 2025 Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira...
Haya hapa Matokeo ya mitihani ya CBA, UANAGENZI NA NABE VETA & NACTVET 2024 Taarifa ya matokeo ya mitihano ya ufundi stadi msimu wa desemba 2024. Bonyeza hapa kuangalia matokeo CBA, UANAGENZI NA...