Utangulizi: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu leo (Jumapili, Oktoba 20, 2024) imetangaza Awamu ya Tatu (Batch Three) yenye wanafunzi 19,345 wa shahada ya awali waliopangiwa mikopo yenye...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimuya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katikaAwamu ya Tatu na ya mwisho kwa ngazi ya Shahada ya...
Upimaji wa fani za elimu ya amali utafanyika kwa kuzingatia miongozo ya mitihani, taratibu na miongozo ya utahini na utunuku ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi...