Msaada

Uliza swali lolote na litajibiwa na wananchi hapa.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Naomba kusaidiwa source of custom law
Answers
0
Views
23
Ester mtwa chogo
Je, bado selection za walimu waliofanya usaili unaendelea?
Answers
0
Views
19
Diddy
Ndugu kwa yeyote mwenye sample ya Documents kama hapo juu tusaidiane ama pia mwenye link ya group la wagavi
Answers
0
Views
34
VESTER RYMES
Naomba msaada wa maswali ya records management assistant kwaajili ya interview
Answers
0
Views
43
Magreth Martin kibiki
Jamani naomba msaada wa maswali ya interview ya TRA Kwa engineers II Upande wa textile engineering please
Answers
0
Views
39
said issa
Habar naomba mnisaidie maswali ya risk ya TRA
Answers
0
Views
25
RAYMOND WARIOBA
Answers
0
Views
38
happyness06
Habari. Una maswali ya laboratory officer maana sijayaona kwenye pdf zote?
Answers
0
Views
43
madoh madoh
Samahani naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupangiwa kituo kingine cha usaili kama mtu yupo mbali na kituo hicho mfano amepangiwa KAGERA alfu yeye yupo dar es salaam
Answers
0
Views
22
repinussotery
Me naomba kuuliza kama kuna link za magroup ya Whatsapp KADA a assistant accountant ii. Hatuwezi pata link tuka join tupate mawili matatu wengine ndo mala ya kwanza kuitwa.
Answers
0
Views
73
Fidelis mwageni
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom