Wakuu, nauliza nawezaje pata barua kwaajili ya Usaili wa TRA!? Jina kwenye list nimeliona ila Sijapokea Barua yenye namba ya Usaili kwenye email yangu.
Kwa sisi wanafunzi wa bachelor hasa mwaka wa pili inakua ni shida sana kupata nafasi za field kwa wakati. Naomba kujua je ni sector ghani au mashirika ghani ambayo tunaweza pata nafasi hasa kwa...