WANANCHI, kwa mtu yeyote mwenye nazo naomba utusaidie sampl Question za Data management officer II Especially kwa upande DATA ANALYST AND DATA MANAGER.
Habari..naomba kuuliza nimecreate email kwenye mfumo wa zimamoto lakini email hiyo inaonekana haipo kwahiyo nashindwa kuingia na kuverify link .. nifanyaje???
Habari I za wkati huu, Mimi ni researcher and consultant, naweza kuandika research proposal, business proposal, report, research papers n.k natafuta Kama Kuna sehemu au kampuni ya kazi hizi...
DTB Bank Tanzania imetangaza Nafasi za kazi kawa:- (Direct Sales Agent - Personal Loan)- agenti wa mauzo ya moja kwa moja - mkopo wa kibinafsi Awe na Diploma au Degree Tuma maombi kabla ya tarehe...
MBEYA CEMENT Imetanagza Nafasi za Ajira kwa:- 1.(LEARNING AND DEVELOPMENT COORDINAT) Mratibu wa mafunzo na maendeleo 2.(MAINTENANCE INSPECTOR) Mtaalamu wa ukaguzi na matengenezo Awe na Degree au...