Baada ya kumaliza jumla ya mechi 10 kwenye Ligi Kuu Bara, Simba SC imefanikiwa kuvuna pointi 25 huku ikifunga mabao 21 na kuruhusu mabao matatu tu. Mafanikio haya yanaashiria uimara wa kikosi cha...
Kiungo mahiri wa mpira kutoka Zanzibar, Feisal Salum Abdalah, maarufu kama Fei Toto, ameonyesha dalili za kuachana na Azam FC, klabu aliyokuwa akiitumikia kwa muda sasa. Japokuwa uongozi wa Azam...
Christina Mwagala, Afisa Habari wa klabu ya Tabora United, ameonesha msimamo mkali dhidi ya Yanga SC baada ya mechi iliyochezwa jana. Katika mazungumzo yake na wanahabari, Christina alionyesha...