Baada ya kupoteza mchezo wao wa awali wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Young Africans SC (Yanga) ya Tanzania imeweka azma ya kuibuka na ushindi dhidi ya MC Alger ya...
Simba SC wanajiandaa kwa mechi muhimu ya CAF Confederation Cup dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku macho yote yakiwa kwa kiungo mahiri Brahim Dib. Dib amekuwa moto msimu huu, akifunga mabao...
Kikosi cha YANGA SC Vs MC ALGER Leo Tarehe 07 December 2024 Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hiki Hapa. Mashindano haya yanachangia si tu sifa ya klabu, bali pia kukuza hadhi ya soka la Tanzania...
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA LEO VS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MC ALGER MECHI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA TAREHE 7 DESEMBER 2024 Mambo vipi mwanamichezo, ni wakati mwingine kabisa tujadili au kujuzana...
Klabu ya Young Africans SC imetangaza kumuingiza Adnan Behlulović katika idara ya fitness. Adnan, raia wa Bosnia na Herzegovina aliyezaliwa Januari 5, 1981, ataungana na Taibi Lagrouni katika...
Kocha wa AS Maniema, Papy Kimoto, amesema timu yake iko tayari kwa mechi dhidi ya Raja Casablanca. Ameeleza kuwa joto kali la Kinshasa linaweza kuwa faida kwa timu yake, kwani wapinzani wao...
"Kutakuwa na joto la nyuzi 34 au 35 hapa Orlando wakati wa kuanza mechi kesho, hivyo tutacheza mchezo chini ya hali sawa. Hakuna visingizio kwa Orlando Pirates wala Al Ahly." #TotalEnergiesCAFCL...
Timu zote sasa ziko tayari kwa mpambano. Mashabiki wajiandae kwa mechi ya kusisimua! 🎉⚽ Mpambano wa kusisimua kesho! 💪🏼⚽ Mashabiki wa Yanga na MC Alger, tayari kwa burudani kali? 🙌🔥
Azam FC imechukua hatua kali dhidi ya Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe, kwa madai ya kuichafua jina la klabu hiyo. Kamwe amepigwa faini ya shilingi bilioni 10 kutokana na kauli alizotoa akidai...
Ikiwa wewe ni mteja wa DStv, unaweza kufurahia huduma ya Showmax kwa urahisi na hata kupata punguzo au bure kabisa kulingana na kifurushi chako. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya...