England – Premier League 18:00 Arsenal vs Everton 18:00 Liverpool vs Fulham 18:00 Newcastle United vs Leicester City 18:00 Wolves va Ipswich Town 20:30 Nottingham Forest vs Aston Villa Spain –...
Kupitia Mtandao wake wa Instagram Haji Manara Shabiki maarufu wa Klabu ya Young Africans, ameandika haya. "Hizi ndio Game zako Mwamba. "Ujuzi ,Uzoefu na Maarifa yako tunayategemea kesho hapo...
Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda. Nyota huyo wa zamani...
KAMA kuna kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa Yanga wanaomba kwa leo ni kuona timu hiyo inazinduka na kupata ushindi ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo. Ndio, ebu uangalie msimamo wa...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ametoa ufafanuzi kuwa dirisha dogo la usajili la CAF litafunguliwa Januari 01 na kufungwa Januari 31 2025 wakati dirisha dogo la TFF...
Ndani ya @SimbaSCTanzania ushindani ni mkubwa, usipoonyesha kitu basi Kuna mwenzako ataonyesha Zaidi na atachukua namba Yako. Kiukweli changamoto ya kuipata namba Kikosi Cha Kwanza ni kubwa siyo...
🚨_II 🦁 Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba imerudi mezani kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Denis Omedi, kwaajili ya kuinasa saini yake dirisha dogo la usajili...
Katika hali ambayo Yanga inahitaji kuimarisha kikosi chake katika dirisha dogo la usajili, taarifa zinadai kuwa mchezaji kutoka AS Vita yupo mbioni kutua Dar es Salaam. Mchezaji huyo ameonyesha...
Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa hatua ya makundi. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameweka wazi kuwa timu yake...