Mchezo umetamatika Kwa suruhu ya Goli Moja kwa Moja. Hamna mbabe Kwa mwenzake, Orlando pirates wanakwenda kushika nafasi ya kwanza na points tano "5" michezo mitatu "3"wakifatiwa na Al Ahly...
Klabu ya Namungo ‘The Southern Killers’ imethibitisha kumsajili aliyekuwa beki wa Azam Fc, Daniel Amoah raia wa Ghana kama mchezaji huru baada ya mchezaji huyo kukosa timu ya kuitumikia tangu...
Hamad Majimengi✅✅ ana cover winger zote kulia na kushoto Fundi haswa Amepita: Ruvu shooting, JKU, Coastal Union,Namungo na Singida Black star ✅✅ Karibu kwenye Familia ya wana TP LIND ANDA
Baada ya kuwasili nchini mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi ya Simba SC, Mohammed Dewji 'Mo' amekabidhiwa ripoti ya usajili ya dirisha dogo ya klabu ya Simba SC kutoka kwa bechi la ufundi la Simba...
Young African wanahitaji Zaidi kushinda mechi zake za Nyumbani zote dhidi ya Tp Mazembe na Mc Alger na kupata sale au suruhu dhidi ya Al HILAL Ugenini, pia kumuombea matokeo mabaya Mc Alger Leo...
Hii Yanga imepoteza ubora wake gafla sana sio Yanga ile ya msimu uliopita ….. Dube anaokoa Jahazi kwa Wananchi dakika za mwisho “Atleast” wamepunguza mzigo mkubwa . Yanga kuvuna Alama 1 leo pale...