Simba wameifunga Ken Gold katika Ligi kuu ya Nbc Tanzania Magoli mawili "2" Kwa sufuri, Magoli yote yakifunga na Mchezaji Wao hatari Leonel Ateba katika dakika ya 41 na 44 kipindi Cha Kwanza...
Kipindi Cha kwanza kimeisha huku Simba wa Msimbazi wapo kifua mbele Kwa Goli mbili zote zikiwekwa kimiani na Leonel Ateba katika dakika ya 42' na 44' huku Ken Gold bado hawajapata Kitu.
Katika mechi ya leo ya Simba dhidi ya Ken Gold.. ELIE MPANZU anaweza asitumike kutokana na ITC yake kutoka AS VITA, bado hawajairuhusu ili jina lake lisomeke Simba. Lakini viongozi wanapambana ili...
Mechi ya Simba SC dhidi ya KenGold inatarajiwa kuwa ya kusisimua sana! Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, watakuwa wenyeji wa KenGold kutoka Mbeya kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge. Huu ni mchezo...
Tanzania – NBC Premier League 16:00 Simba SC vs KenGold Spain – Laliga 23:30 Espanyol vs Valencia 23:30 Villarreal vs Rayo Vallecano France – Ligue 1 23:00 AS Monaco vs Paris Saint-Germain England...
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inafuatilia kwa karibu kiwango cha Allan Okello (24) mchezaji wa Klabu Vipers inayoshiriki Ligi kuu Nchini Uganda. Okello, ni miongoni mwa vijana waliojaliwa...
Haya hapa maekezo aliyoyatoa waziri Wa Sanaa na Michezo Tanzania juu ya kuvunjwa viti Benjamin mkapa. MAELEKEZO ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan...
Mchezo namba 125 wa ligi kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe December 28 umeondolewa kwenye ratiba na utapangiwa tarehe nyingine sababu kubwa ya mchezo huo...