Leo saa 10 jioni kikosi Cha Simba sports club kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika muendeleo wa Ligi Kuu ya NBC. Hapana shaka mchezo wa leo utakuwa mgumu kutokana...
Hii hapa Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne 24 December 2024 Tanzania – NBC Premier League 14:00 Singida Black Stars vs KenGold 16:15 Simba SC vs JKT Tanzania Ivory Coast – Ligue 1 18:30 ASEC Mimosas...
Mchezo ulianza kwa timu zote kufanya makosa yanayofanana : kila timu walipoteza mipira kirahisi “Pass” lakini Yanga quality imeamua mchezo. Yanga na 4-2-3-1 kama kawaida yao lakini wakiwa na mali...
Klabu ya Young Africans itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa tarehe 22 December 2024 kwenye Uwanja wa KMC...
Michuano ya Mapinduzi Cup 2025 inatarajiwa Kuanza rasmi January 03,2024 huku Fainali zikitarajiwa kufanyika January 13,2024. Droo ya kupanga Makundi itafanyika kwenye Uwanja wa Gombani Pemba...
Ratiba ya Mechi za Leo Jumapili 22 December 2024 Tanzania -NBC Premier League 16:00 Young Africans vs Tanzania Prisons England – Premier League 17:00 Everton vs Chelsea 17:00 Fulham vs Southampton...
🚨𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 🏆#NBCPremierLeague Kagera Sugar 2-5 Simba Sports Club ⚽Kapombe ⚽Ahoua ⚽Ngoma ⚽Mukwala ⚽Mukwala Leo ilikua mechi ya kwanza Kwa Elie Mpanzu kuitumikia Simba Hakika Anajua wanasimba...