Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita.
Yusuph Kagoma ni miongoni mwa viungo wachache wazawa wanaofanya vizuri sana kwenye Ligi kuu Tanzania Bara hasa kwenye hizi klabu kubwa. Kagoma amekuwa nguzo kubwa na imara kwa klabu ya Simba jambo...
Simba anaendelea kusalia pale juu nafasi ya kwanza na alama 40 akishinda michezo 13 sale 1 na kupoteza 1 huku akifunga mabao 31 na kuruhusu mabao 5 pekee. Simba amekamilisha michezo yake yote ya...
Mchezo wa Dodoma Jiji kutoka Dodoma Dhidi ya Mashujaa Fc kutoka Kigoma umemalizika Kwa Dodoma Jiji kuibuka na Ushindi wa Goli 3 Dhidi ya Goli 1 la Mashujaa, Magoli ya Dodoma Jiji yalifungwa na...
Simba na 4-2-3-1 , waliamua kufanya mabadiliko kwenye eneo la kiungo (Kagoma na Ngoma) wakianza kama “Double Pivot” then Ahoua mbele yao huku Mpanzu na Kibu wakitokea pembeni …. Nini Simba...
Plan ya Fadlu Davids imeanzia kWa huyu mwamba “Jean Charles Ahoua” wakati timu inashambulia kuwa na uharaka wa kufanya maamuzi na pass sahihi kwenda mbele 👏 Ahoua akiwa na mali Kibu anakuwa wides...
Game bora kuishuudia…. High intensity 🔥 Simba wanaunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana...
Mechi ya leo kwa Simba ni moja kati ya mechi ngumu sana msimu huu,wanakutana na timu bora sana kiwanjan Nje ya uwanja wapinzani wanaamini kwa trend ya matokeo ya Simba hivi karibuni hii mechi...