Yanga walianza na mikakati sahihi , wakiwa na mpira 2-3-4-1 (Joba na Bacca wanakuwa nyuma then Aucho mbele yao “Pembe tatu shape” huku Kibwana na Boka wanakuwa mstari mmoja then Muda anasogea juu...
Ahoua Charles ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao 5+ na kutoa assists 5+ katika NBC Premier League msimu huu. ◉ 14 - Games ◉ 07 - Goals ◉ 05 - Assists ◉ 12 - G/A Wachezaji wenye G/A nyingi...
Beki wa Klabu ya Simba sports club, Valentine Nouma hapo juzi aliaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu akiwa kwao Nchini Burkina Faso. Nouma alipata nafasi ya kusafiri...
KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024 Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate . Mchezo huo...
Leo Jumapili ya mwisho Kwa Mwaka huu 2024, itakwenda kushereheshwa na mechi kubwa kabisa ya Ligi kuu Nbc PL Tanzania kati ya Mabingwa watetezi na wawakirishi pekee wa Tanzania kunako michuano ya...
Mechi za Leo Jumapili 29 December 2024 Tanzania – Premier League 16:00 Coastal Union vs Kinondoni MC 16:00 Young Africans vs Fountain Gate FC Tanzania – NBC Championship 16:00 Kiluvya FC vs...
Kocha Fadlu Davids amewapa mapumziko ya siku mbili wachezaji wake ambapo ni leo na kesho Jumatatu Kikosi kitarejea mazoezini Jumanne asubuhi na jioni kitaanza safari kuelekea Tunisia kwaajili ya...
Msimu uliopita Vumi Ley Matampi alitwaa Tuzo ya golikipa bora akiwa na Cleen sheet 15 kwenye mechi 24 za Nbc PL alizosimama langoni. Msimu huu 2024/2025 Moussa Pinpin Camara tayari ana cleen sheet...