Januari 3 2022 CEO wa Simba SC wakati huo, Madam Babra Gonzalez alimuajiri Ahmed Ally kama Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu Leo ni miaka mitatu Ahmed Ally amekua kipenzi cha Wanachama na...
Michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL inaanza Leo katika Ungwe ya Nne. Cr Belouizdad vs Al Ahly Sc Leo (Ijumaa) 10:00 PM Yanga SC vs Tp Mazembe Kesho (Jumamosi) 04: 00 PM Orlando pirates vs Stade...
Ni kweli Yanga ni miongoni mwa timu 6 ambazo hazijafanikiwa kupata ushindi wowote kwenye michuano ya CAF Interclub. Ni kweli Yanga wana alama moja mkiani. Lakini, Sidhani kama Yanga wakishindwa...
Kikosi cha Simba Sports Club kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Tunisia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika 𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖 dhidi ya CS Sfaxien🇹🇳 utakaopigwa...
Mchezo wa CAF Confederation Cup kati ya CS Sfaxien dhidi ya Simba SC utachezwa katika Uwanja wa Olympique Rades unaopatikana Jijini Tunis BADALA YA uwanja wa nyumbani wa CS Sfaxien unaoitwa Taeib...
Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amewasilisha ofa ya dola 300,000 (Zaidi ya milioni 730 za Kitanzania) Pamoja na Aishi Manula kwa maboss...
Kwenye michuano ya CAF Interclub hatua ya makundi Yanga wanaburuza mkia wakiwa na alama moja tu kwenye msimamo wa kundi A huku kinara Al Hilal akiwa na alama zake 9. Wana nafasi ya kuongoza...
Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili kwenye mfumo wa CAF winga wao mpya Ellie Mpanzu na sasa nyota huyo anaruhusiwa kuichezea Simba kwenye mechi za kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup)...
1.YANGA vs TP MAZEMBE 🇨🇩 -JANUARY 4 KWA MKAPA Saa kumi Jioni 2.AL HILAL 🇸🇩 Vs YANGA - JANUARY 12 MAURITANIA 🇲🇷 Saa nne usiku 3.YANGA Vs MC ALGER 🇩🇿 - JANUARY 18 KWA MKAPA saa kumi Jioni Wananchi...