Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa Winga Jonathan IkangaLombo 🇨🇩 akitokea AS Vita Club katika dirisha hili dogo la uhamisho Jonathan IkangaLombo amesaini mkataba wa miaka miwili hii...
SIMBA 🇹🇿 wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF ❌ Wydad 1-0 Simba 🤝 Asec 0-0 Simba ❌ Al Ahly 2-0 Simba 🤝 Ahli Tripoli 0-0 Simba ❌ Constatine 2-1 Simba Leo Vs Cs sfaxien..?
Leo, Mnyama, Simba SC yupo dimba la ugenini nchini Tunisia akiwakabili CS Sfaxien. mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho Afrika, Kundi A. Mtanange huu utapigwa saa 1:00 usiku Leo January 05, 2025.
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba sports club Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa leo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika (𝗧𝗼𝘁𝗮𝗹𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝗶𝗲𝘀𝗖𝗔𝗙𝗖𝗖) dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu kutokana na...
Yanga wameshinda Leo na kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali Africa CAFCL huku wakishika nafasi ya tatu na alama nne Nyuma ya Mc Alger mwenye alama sawa na Yanga akiwa na michezo...
Yanga walianza mechi vizuri sana : umiliki wa mpira , intensity ya hali ya juu , pressing , walikuwa wanapasiana mpira vizuri sana wakati wanaanza “Build Up” na walitumia sana eneo la katikati...
Mechi nzuri ya kuitazama, Yanga wanamiliki mali vizuri lakini wakifika kwenye nusu ya Mazembe wanakuwa na idadi ndogo ya wachezaji + Tp wanazuia vizuri wakiwa kwenye “Mid block” : Yanga wanapata...