Ligi za Mabingwa za Mabara yetu duniani ,zilianza miaka ya 1950 kwa kule Ulaya na Afrika zilianza miaka ya 1960, Hakukuwa na Makombe mengine ya Mpata Mpatae. Rais wa UEFA wa miaka ile ,akaja na...
Kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema hadi sasa hesabu za timu hiyo kutinga Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zipo sawa baada ya kuifumua TP Mazembe kwa mabao 3-1 na kudai kipigo hicho...
Kwenye Kundi hili kila timu 3 za juu zote zinamtazama Cs Sfaxien kama ngazi...atakaedondosha alama kwa Sfaxien anaweza kubaki. Simba amefanikiwa kuchukua alama zote 6 kwa Sfaxien, Constantine...
Klabu ya Al Hilal kutoka Sudan 🇸🇩 inakuwa timu ya kwanza msimu huu kwenye CAFCL kufuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo . Kwenye michezo minne amekusanya Alama 10 . Kwasasa ni Yanga wenyewe...
Fadlu amegeuka mwiba mkali kwa wapinzani. Simba ya Fadlu imeruhusu goli chache (5) kwenye mechi 15 za NBC. Simba imeruhusu goli chache (3) kwenye kundi (A) CAF. Simba ni vinara wa kundi (A) CAF...
Jean Charles Ahoua kwenye kombe la shirikisho Afrika , amehusika kwenye magoli manne (04) hadi hivi sasa . Ametoa pasi za magoli (02) huku akifunga magoli mawili hadi hivi sasa 🔥 kwenye eneo la...
Pyramid ya Misri wameshinda Leo Goli mbili Dhidi ya Esperance De Tunis ya Nchini Tunisia, huku Gd Sagrada Esperanca wakipats Ushindi wa Goli Moja Dhidi ya Djoliba Ac De Bamako