Klabu ya Tabora United FC imekamilisha usajili wa beki Yassin Mustapha akitokea Mtibwa Sugar FC Mustapha amejiunga na klabu ya Tabora United FC akiwa Mchezaji huru baada ya kuachana na Mtibwa...
Kikosi cha Wachezaji 22 watakaosafiri Kesho Alfajiri kuelekea Angola kuwafuata FC Bravos Maquis katika mchezo wa CAF Confederation Cup utakaochezwa jumapili Huku wachezaji kadhaa wakikosekana...
Timu ya Toronto Fc ya nchini Marekani inakumbana na upinzani kutokea kwenye klabu ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco katika jitihada za kumrejesha kikosini mchezaji wao Cassius Mailula aliyepo...
Klabu ya fountain gate fc Imemtambulisha Mlinda lango wao Mpya Ibrahim Parapanda Ibrahim parapanda amejiunga na klab ya Fountain Gate kwa mkataba wa Mkopo akitokea singida black star Parapanda...
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Nigeria 🇳🇬 NFF limetangaza bwana Eric Sekuo Chelle kuwa kocha wa timu ya taifa hilo. Kabla ya kuchaguliwa kuwa kocha wa taifa hilo aliwahi kuifundisha timu ya...
Uongozi soka ya Yanga imethibitisha kuwa klabu hiyo bado inaendelea kuwakosa nyota wao muhimu,Aziz Andambwile, Yao Kouassi Atouholla na Max Mpia Nzingeli. Repoti kutoka kwa daktari wa klabu hiyo...
Kufuatia Mchezo Unaofuata wa Yanga Dhidi Ya Al Hilal, Mchambuzi wa michezo George Ambangile anasema kuwa Yanga SC wasipige hesabu kisa Al hilal kuwa wamefuzu kama utakuwa mchezo mwepesi. “Yanga SC...
Klabu ya soka ya Yanga inatalajia kusafiri na kuelekea nchini Mauritania 🇲🇷 siku ya Alhamisi kwa ajili ya mchezo wa mzunguko wa tano dhidi ya Al Hilal. Taarifa iliyotolewa na Afisa habari wa klabu...
Takwimu za Al Hilal Omdurman msimu wa 2024/2025 hadi kufikia sasa. Imecheza mechi 17 Imeshinda 11 Imepoteza 1 Imetoka sale 5. Mabao ya kufunga 28 Mabao ya kufungwa 9. ●Takwimu hizi ni kuanzia...
Klabu ya TP Mazembe imetuwa salama nchini Algeria 🇩🇿 kwa ajili ya mchezo wa ijumaa dhidi ya MC Algiers. Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemchagua refa Ambongile Tom kutoka Afrika...