Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Jean Othos Baleke amegoma kwenda kwa mkopo katika klabu ya Namungo Fc na anataka kulipwa chake aondoke Yanga... Yanga hawana mpango na nyota huyo wa kimataifa wa DR...
Kuna uwezekano mkubwa Bravos do Maquis wakaingia kwenye mfumo wa Simba kama wataamini walistahili kushinda mchezo wao wa awali. Ukweli ni kwamba Simba iliyocheza dhidi ya Bravos hapa nyumbani na...
Kukusanya pointi 6 katika mechi mbili zilizobaki bila kuangalia matokeo ya kupande mwingi, hapo watakuwa wametinga robo fainali. Kinachohitajika kwa Yanga SC ni kupambana zaidi uwanjani ili...
Kwa mujibu wa uteuzi wa CAF, mechi ya Simba Dhidi Ya Bravo itakayopigwa January 12, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni kwa saa za Angola ambazo ni sawa na saa 1:00 usiku kwa Afrika Mashariki na Kati...
Maneno ya Kocha Mkuu wa zamani wa Wydad Casablanca, Esperance de Tunis, Raja Club Athletic na Timu ya Taifa ya Tunisia Faouzi Benzart. "Sitoshangaa Mwaka huu katika orodha ya Ligi bora Afrika...
Mchezaji wa muda mrefu wa Azam FC Yahya Zayd amefichua sababu zilizopelekea kurejea nyumbani baada ya kupata fursa ya kucheza kwenye klabu ya Ismailia ya Misri lakini hakufanikiwa kudumu kwa muda...
Hii hapa ratiba kamili ya mechi zitakazopigwa Kwenye Ungwe ya Tano katika michuano ya Klabu Bingwa Africa. Michezo hiyo itaanza kurindima Leo Ijumaa ya January 10, 2025 Hadi jumapili ya January...
Florent Ibenge ni miongoni mwa Makocha wa kisasa ambao huwa wanaacha matokeo ya uwanjani yaongee zaidi kuliko yeye ndio maana mtego wake wa kwanza huwa ni kuwaheshimu wapinzani wake. Mechi ya...
Leo mwanamziki anaejulikana kwa jina la Mbosso kutoka katika label ya WCB Wasafi ameachia nyimbo mpya inayokwenda kwa jina la "Kupenda" kaisikilize sasa kisha twambie hapa kapatia kama kawaida...
Klabu ya Simba tayari wamewasili salama nchini Angola Kwaajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji wao Bravos, mchezo huu utachezwa siku ya jumapili majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania.