Azam FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa Ivory Coast Zouzou Landry kutoka klabu ya Afad Djakanou ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka minne. kimahesabu Zozuou anaenda kuziba nafasi...
Ukifatalia kwa ukaribu ligi kuu nchini Afrika kusini PSL utapata kufahamu vilabu na madaraja yake kama vile vigogo( Orlando Pirates, Kaizer na Mamelodi Sundowns) Halikadhalika kuna zile timu za...
Jumapili ya January 12, Simba wataingia katika dimba la Estadio 11 de Novembro kukipiga na Onze Bravos do Maquis kwenye mchezo wa 5 wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho. Katika mchezo huo...
Simba SC itacheza dhidi ya Bravos FC ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la CAF Jumapili, Januari 12, 2025, lakini wachezaji wanne muhimu wameachwa nyuma. Wachezaji hao ni Aishi Manula...
Endapo Simba atamaliza Nafasi ya kwanza kwenye kundi lake basi ana nafasi kubwa sana ya Kufika hadi hatua ya Nusu Fainal. Endapo simba atamaliza Nafasi ya kwanza basi upo uwezekano mkubwa sana wa...
Klabu ya Wydad Athletic imebisha hodi tena Yanga kutaka wachezaji wawili. Wachezaji hao wawili ni Clement Mzize na Stephane Aziz Ki. Yanga iliweka wazi wataanza kusikiliza ofa kwa wachezaji hao...
Tunaenda kwa Al Hilal kupata alama tatu, hatuna presha na hata msimu uliopita wachezaji walikutana na hali kama hii, sisi tunajiamini na tumejiandaa kurudi na alama tatu. Tumeshamaliza home work...
Club ya Young Africans, imeachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Fahad Bayo, baada ya mchezaji huyo kushindwa kuonyesha kiwango bora ambapo pengine kingeweza...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ongezeko kubwa la zawadi kwa washindi wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ya mwaka 2025 yatakayofanyika Kenya, Tanzania, na Uganda. Zawadi ya...
Raia wa Kenya Robert Matano (60) 🇰🇪 ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate 🇹🇿 akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni. Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na...