Klabu ya TP Mazembe imetuwa salama nchini Algeria 🇩🇿 kwa ajili ya mchezo wa ijumaa dhidi ya MC Algiers. Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemchagua refa Ambongile Tom kutoka Afrika...
Zilipita Zilikuwepo na zikaondoka kwenye Ardhi ya Baba wa Taifa Mwl. Julius K Nyerere namba 2 bora sana Lakini hakuna aliyetikisa hata nusu ya Uwezo wa Shomari Kapombe. Ndani ya Ardhi hiii Hakuna...
Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi mikoba ya Patrick Aussems, ameeleza kuwa na mpango wa kuifanya timu hiyo kuwa tishio Ligi...
Wakati Yanga wamewaka kwenye game hizi tano za mwisho …. Chama Clatous anarejea mazoezini kuongeza nguvu kwenye eneo la namba 10. Ramovic kikosi chake kinazidi kuwa kipana, wachezaji wenye...
SIMBA SC endapo wakimaliza nafasi ya pili kwenye kundi kuna hati hati ya kukutana na timu zifuatazo ambazo zinanafasi kubwa ya kumaliza kama vinara kwenye makundi yao. Rs Berkane(Moroco) USM...
Beki wa zamani wa Real Madrid, Marcelo anatupa stori namna alivyojiunga na klabu hiyo. "Sitakuja kusahau mchakato wangu wa kujiunga na Real Madrid ulivyokuwa. "Siku moja mwakilishi wangu...
Yani kila ukimuangalia Mudathir Yahya unapata picha ya namna Kiungo Chuma anatakiwa kuwa, nazani ndio kiungo bora zaidi wa kati anaweza kuzuia njia za mipira ‘Ball paths’ kwa usahihi sana kutoka...
Klabu ya Simba sports club itasafiri tena Kuwafuata bravo do Maquis nchini Angola katika michuano ya shirikisho barani Africa CAFCC. Mchezo Huo ni Mchezo mhimu sana Kwa Mnyama Simba kwani endapo...
Pichani ni Abdulrazak Hamza na Yusuph Kagoma wachezaji wa Simba Sc wenye utambulisho wa uraia wa Tanzania. Ni sajili za dirisha kubwa la usajili msimu wa 2024/25 pale Lunyasi. Naamini asilimia...
Klabu ya Wydad Casablanca imetenga kiasi cha fedha 831,082 US Dollar sawa na kiasi cha Billioni mbili za kitanzania kwaajili ya kunasa saini ya mchezaji Clement Mzize ifikapo dirisha kubwa la...