Michezo ya mapema kabisa Leo Kwenye Kombe la shirikisho Africa CAFCC Imetamatika huku Simba Mnyama akipata Ushindi wake wa kwanza katika ardhi ya mwarabu nchini Tunisia ambapo ameondoka na Ushindi...
Ushindi wa Simba dhidi ya Cs Sfaxien unawapeleka kileleni mwa msimamo wa kundi A wakiwa na alama 9 na kuzima ile kauli ya Simba huwa haijawahi kushinda nyumbani kwa mwarabu. Ni mechi ambayo...
Michezo ya mapema Leo Kombe la shirikisho Africa CAFCC imefika mapumziko huku Simba wakiongoza ugenini Dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia, huku Stellenbosch FC wakiwa suruhu Dhidi ya CD Lunda sul, Asc...
𝐌𝐂𝐇𝐄𝐙𝐎 𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐔𝐌𝐙𝐈𝐊𝐎 Well done Lunyasi dakika 45 bora mmecheza 👏 mikakati sahihi timu ikiwa na mipira (pasi sahihi za mbele na uharaka kwenye matukio muhimu ✅) Goli limehusisha pasi tatu tu!.. hawa...
CS Sfaxien wako nyumbani leo kwenye kampeni yao kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho na wanacheza dimbani kucheza na Simba Sc. Sfaxien hawajashinda mchezo wowote katika michezo...
Baada ya ushindi wa jana wa Yanga dhidi ya Tp Mazembe nafikiri maombi yao yawe kwenye mechi ya leo ya Hilal dhidi ya Mc Alger. Kama Hilal atashinda leo ni wazi Yanga atakwenda robo fainali...
Kikosi chetu cha Simba Sc kinapambana leo na CS Sfaxien – Kombe la Shirikisho Afrika Leo saa moja usiku, kikosi cha Simba kitashuka dimbani katika Uwanja wa Hammadi Agrebi, Tunis, kupambana na CS...
KIKOSI Cha Simba Sports Club Dhidi Ya Cs Sfaxien Leo January 05, 2025 TotallyEnergyCAFCC Klabu ya Simba itakuwa ugenini Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Shirikisho Africa CAFCC dhidi ya Cs...