Baada ya Yanga kupata “Turning Point” yao pale Lubumbashi dhidi ya Tp Mazembe kwenye CAFCL leo wanarudi tena wakiwa nyumbani dhidi ya wababe hao hao kutoka DR Congo. Sead Ramovic ametambulisha...
Rais wa Tp mazembe MOÏSE KATUMBI amewaahidi wachezaji wake dollar 💰$100,000 ambazo ni sawa na Tshs milioni (240,090,900.2695) kwa kila bao litakalofungwa dhidi ya Young AfricansSC leo Jumamosi 04...
"...Sisi wachezaji wetu ndio ambao watakaotubakiza kwenye ramani ya Champions League na wao ndio watakaotutoa kwenye ramani kwa hiyo ufunguo upo kwao watuweke kwenye mashindano kwa kushinda au...
KIKOSI Cha Young African's vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025 Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL dhidi ya Tp Mazembe. Mchezo huo utapigwa...
Aliyekuwa Kocha Mkuu Wa JS Kabylie Abdelhak Benchikha Amejiuzulu katika nafasi yake hiyo ya Ukocha. Benchikha Anasema “Nikama nilikuwa naishi Njiani sijawahi kuipata Amani Hata kama tukishinda au...
Yanga Leo Dimbani kusaka Alama tatu ambazo zitafufua matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL, Mchezo utachezwa Benjamin mkapa Tanzania majira ya saa...
KIUNGO wa Simba Mzamiru Yassin amesema mechi yao ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) dhidi ya Sfaxien ya Tunisia haitakuwa nyepesi wanahitaji jitihada, umakini na nguvu kuhakikisha wanapata...
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili winga Jonathan Ikangalombo kutoka As Vita Club ya DR Congo. Jonathan mwenye umri wa miaka 22 tayari yupo jijini Dar kukamilisha usajili huo.
Salah aliulizwa na Sky Sports ikiwa huu utakuwa msimu wake wa mwisho ndani ya Liverpool. Alijibu kwa ujasiri: “Mpaka muda huu? Ndio… huu ndio msimu wangu wa mwisho. Tumeingia katika miezi sita ya...