Kikosi Cha Simba sports club kimesafiri Alfajiri ya leo Januari 1 2025 kuelekea Nchini Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien Mchezo ambao utachezwa tarehe 5 Mwezi wa kwanza Mwaka...
Klabu ya soka ya Kengold imemsajili mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana Bernard Morrison kama mchezaji huru kwa mkataba wa miezi sita. Morrison ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza...
Shirikisho la Mpira wa miguu nchini (TFF) imesimamisha ligi kuu Tanzania Bara kuanzia Disemba 29,2024 mpaka Machi 1,2025 kupisha michuano ya Mapinduzi Cup pamoja na Michuano ya CHAN itayoanza...
Mapinduzi Cup 2025. Michuano ya Mapinduzi 2025 kuanza kuchezwa Ijumaa hii katika dimba la Gombani Kisiwani Pemba. Hii hapa ratiba ya Mapinduzi cup Zanzibar 2025.
Pacôme Zouzoua amehusika moja kwa moja katika mabao sita kwenye mechi zake tano za mwisho katika NBC Premier League. Vs. Namungo - ⚽ Vs. Mashujaa - 🅰️ Vs. Tanzania Prisons - 🅰️ Vs. Dodoma Jiji -...
Dirisha dogo la usajili litafungwa Januari 15 mwakani Mpaka sasa Fadlu Davids ameuliza kama kuna uwezekano wa kupatikana Kiungo mkabaji asilia mmoja mwenye ubora sawa au zaidi ya Yusuf Kagoma...
Wananchi baada ya kushinda michezo minne mfululizo ya ligi kuu sasa wanarejea kwenye michuano ya kimataifa. Ambapo ratiba inaonyesha kuwa Yanga Jumamosi hii January 4,2025 watawakaribisha TP...