Sports
Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Baada ya kuwasili nchini mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi ya Simba SC, Mohammed Dewji 'Mo' amekabidhiwa ripoti ya usajili ya dirisha dogo ya klabu ya Simba SC kutoka kwa bechi la ufundi la Simba...
Young African wanahitaji Zaidi kushinda mechi zake za Nyumbani zote dhidi ya Tp Mazembe na Mc Alger na kupata sale au suruhu dhidi ya Al HILAL Ugenini, pia kumuombea matokeo mabaya Mc Alger Leo...
Hii Yanga imepoteza ubora wake gafla sana sio Yanga ile ya msimu uliopita ….. Dube anaokoa Jahazi kwa Wananchi dakika za mwisho “Atleast” wamepunguza mzigo mkubwa . Yanga kuvuna Alama 1 leo pale...
Habari za Michezo
Kikosi cha SIMBA SC Vs CS SFAXIEN Leo Jumapili Tahere 15 Disemba 2024 Kombe la Shirikisho la CAF
Mechi inayosubiriwa kwa hamu kati ya Simba SC ya Tanzania na CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Kombe la Shirikisho la CAF ni zaidi ya pambano la pointi tatu. Huu ni mchezo wa heshima, historia, na...
Hivi hapa vituo vya tiketi mechi za Simba SC Mnyamaa
Maelekezo ya jinsi ya kununua tiketi kupitia mitandao ya simu kwa kutumia N-Card kwa wateja wa mitandao mbalimbali, ikiwa ni kwa ajili ya mechi za Simba SC. Maelekezo hayo yanahusu Vodacom M-Pesa...
Hiki hapa Kikosi Cha Kwanza Cha TP MAZEMBE kinachoanza dhidi ya Young African
Kikosi cha YANGA SC Vs TP MAZEMBE Leo Tarehe 14 December 2024 Hiki Hapa
Kikosi cha Yanga vs Tp Mazembe #cafcl Kwa hili Kosi Yanga nawapa mazima...