Search results
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
-
KIKOSI CHA TP MAZEMBE KINACHOANZA DHIDI YA YOUNG AFRICAN
Hiki hapa Kikosi Cha Kwanza Cha TP MAZEMBE kinachoanza dhidi ya Young African -
Kikosi Cha Young African
Kikosi cha Yanga vs Tp Mazembe #cafcl Kwa hili Kosi Yanga nawapa mazima... -
NAMNA YA KUKATA TICKET ZA MCHEZO KATI YA SIMBA SC VS CS SFAXIEN
Kata ticket ya Mchezo baina ya Simba SC dhidi ya Cs Sfaxien kupitia simu Yako. -
TP MAZEMBE VS YOUNG AFRICAN
Mara ya mwisho Yanga kucheza dhidi ya Tp Mazembe pale Lubumbashi , Farid Mussa ndio mchezaji aliyezamisha meli ya vijana wa Moise Katumbi kwenye kombe la Shirikisho Afrika ….. leo wanakutana kwenye CAFCL 👏 Kila la Kheri Wananchi 👍 -
RATIBA ya Mechi za Leo Jumamosi tarehe 14 December 2024
England – Premier League 18:00 Arsenal vs Everton 18:00 Liverpool vs Fulham 18:00 Newcastle United vs Leicester City 18:00 Wolves va Ipswich Town 20:30 Nottingham Forest vs Aston Villa Spain – Laliga 16:00 Espanyol vs Osasuna 18:15 Mallorca vs Girona 20:30 Sevilla vs Celta Vigo 23:00 Rayo... -
RATIBA ya Mechi za Leo Jumamosi tarehe 14 December 2024
RATIBA ya Mechi za Leo Jumamosi tarehe 14 December 2024 England – Premier League 18:00 Arsenal vs Everton 18:00 Liverpool vs Fulham 18:00 Newcastle United vs Leicester City 18:00 Wolves va Ipswich Town 20:30 Nottingham Forest vs Aston Villa Spain – Laliga 16:00 Espanyol vs Osasuna 18:15... -
MANARA AMPA BARAKA CHOTA CHAMA
Kupitia Mtandao wake wa Instagram Haji Manara Shabiki maarufu wa Klabu ya Young Africans, ameandika haya. "Hizi ndio Game zako Mwamba. "Ujuzi ,Uzoefu na Maarifa yako tunayategemea kesho hapo Lubumbashi👊👊 "Nenda katupe hii furaha,kaonyesha ubora wako wewe na Wenzio kikosini. Tunawaamini na... -
BALEKE MBIONI KUJIUNGA NAMUNGO FC
Baada ya kutupia bao moja akiwa na Yanga, mshambuliaji Jean Baleke inaelezwa kwa sasa anajiandaa kuondoka, huku akitajwa huenda akaibukia Namungo inayonolewa na Juma Mgunda. Nyota huyo wa zamani wa Simba, alirejea nchini mwanzoni mwa msimu huu akitokea Libya alikokuwa anacheza kwa mkopo... -
TP MAZEMBE VS YOUNG AFRICAN LEO SAA 10:00 JIONI
KAMA kuna kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa Yanga wanaomba kwa leo ni kuona timu hiyo inazinduka na kupata ushindi ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo. Ndio, ebu uangalie msimamo wa Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoendelea kwa sasa, kule mkiani ndiko maskani ya Yanga... -
ELIE Mpanzu Kuitumikia Simba lini?
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ametoa ufafanuzi kuwa dirisha dogo la usajili la CAF litafunguliwa Januari 01 na kufungwa Januari 31 2025 wakati dirisha dogo la TFF likifunguliwa Disemba 16 na kufungwa Januari 15 2025. Hivyo Mpanzu ataanza kuitumikia Simba Ligi Kuu ya NBC... -
MSIMAMO Ligi Kuu ya NBC 2024/2025.
Msimamo wa Ligi Kuu Bara 2024/25. -
NDANI YA SIMBA SC
Ndani ya @SimbaSCTanzania ushindani ni mkubwa, usipoonyesha kitu basi Kuna mwenzako ataonyesha Zaidi na atachukua namba Yako. Kiukweli changamoto ya kuipata namba Kikosi Cha Kwanza ni kubwa siyo rahisi. Coach anachagua kulingana na ulichokionyesha mazoezini. 🗣️Aongea Okejepher -
Usajiri Msimbazi
🚨_II 🦁 Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba imerudi mezani kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda Denis Omedi, kwaajili ya kuinasa saini yake dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa. Omed tayari amemaliza mkataba na waajiri wake wa zamani Kitara Fc. -
Nafasi za kazi Gold Crest Hotel December 2024
Natafuta kazi nimehitimu Chuo kikuu IFM Nina ufaulu wa 3.2 lower second class, mwaka huu. Natumia transcript tu. Course Accountant. Nisaidieni